Top Stories

Rais Magufuli “Bilionea Laizer uenda angeuawa, walitubeza” (+video)

on

Rais John Magufuli leo June 29, 2020 amemzungumzia Bilionea mpya Laizer “Tulipojenga ukuta Mirerani wapo waliotubeza, pia tumeshuhudia mmasai Laizer akipata jiwe kubwa na kuwa bilionea, najiuliza huu ukuta ungejengwa tangu mwaka 1961 ingekuwaje? Najiuliza bila ukuta, hilo jiwe kubwa tungeambiwa limepatikana? pengine hata Laizer angeuawa”.

“LUKUVI SISI SIO WATOTO WADOGO” MAGUFULI AMVAA VIKALI WAZIRI MBELE YA WANANCHI “UMEWEKWA MKONONI”

Soma na hizi

Tupia Comments