Top Stories

Rais Magufuli kuhitimisha Bunge June 11 (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.John Magufuli anataraji kuhitimisha Bunge la 11 Juni 19,2020 Jijini Dodoma badala ya Mei 29,2020 iliyopangwa awali.

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema hayo hivi punde katika mkutano wake na Waandishi wa Habari katika Makazi yake Uzunguni Dodoma.

Spika amesema hayo yamefikiwa baada ya kikao cha uongozi kilichofanyika leo ambapo amesema wameamua kufuata kalenda ya usomaji Bajeti ya Jumuia ya Afrika Mashariki.

RAIS TFF ABANWA BILIONI 1 YA RAIS MAGUFULI, AMTAJA MWAKYEMBE

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments