Top Stories

Rais Magufuli “Soko hili liitwe Soko Kuu la Ndugai” (+video)

on

Leo November 22, 2019 Rais Magufuli ameweke jiwe la msingi la ujenzi wa Soko Kuu la Dodoma, ujenzi unatarajiwa kukamilika Februari 2020 kwa gharama ya shilingi Bilioni 14.4.napendekeza liitwe soko la Ndugai, najua wengine wataanza manenomaneno lakini nimeshaamua liitwe soko la Ndugai”.

LIVE: RAIS MAGUFULI ANAZINDUA UJENZI WA NYUMBA ZA FFU

Soma na hizi

Tupia Comments