Top Stories

Rais Mwinyi aongoza mamia ya watu, Kikeke, Salama Jabir, Zanzibar Marathon

on

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameishauri Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kuandaa Kalenda maalum ya kufanyika kwa Mashindano ya Kimataifa ya Marathon (Zanziar International Marathon ) , ili kuwawezesha Wadau wa Sekta hiyo kuzitangaza mbio hizo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara na Utalii, yanayofanyika kila Mwaka.

 

Tupia Comments