Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais Mwinyi apokea Tuzo ya VIP Global Water Changemakers 2023
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Rais Mwinyi apokea Tuzo ya VIP Global Water Changemakers 2023
Top Stories

Rais Mwinyi apokea Tuzo ya VIP Global Water Changemakers 2023

April 5, 2023
Share
2 Min Read
.
SHARE

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ni heshima kubwa kutunukiwa tuzo kwa niaba ya Serikali na Wananchi ikiwa ni jitihada za Serikali kuimarisha huduma za maji Zanzibar kwa mabadiliko na mageuzi kwenye sekta hiyo.

Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar baada ya kupokea Tuzo maalumu iitwayo kama VIP Global Water Changemakers Awards 2023 kutoka kwa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushirika wa Maji Duniani Kusini mwa Afrika, Mwenyekiti wa Kitengo cha Uratibu Afrika Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

.

Tuzo hiyo imetolewa wakati wa mkutano wa maji wa Umoja wa Mataifa tarehe: 22 Machi 2023 jijini New York, Marekani.

Dk.Mwinyi amesema tuzo hiyo imetokana na Zanzibar kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuandaa na kuzindua Programu ya uwekezaji katika sekta ya maji ambayo inajulikana kama Zanzibar Water Investment Programme ya mwaka 2022-2027 iliyozinduliwa mpango rasmi tarehe 11 Machi 2022 katika Kongamano la uwekezaji wa sekta ya maji barani Afrika lililofanyika Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja.

.

Naye, Rais Mstaafu Dkt. Kikwete amesema tuzo hiyo imeipa heshima Zanzibar Kimataifa na pia ni ishara kuwa Jumuiya za Kimataifa zimetambua jitihada zinazofanywa na Rais Dk. Mwinyi katika kuendeleza sekta ya maji Unguja na Pemba.

.
.
.

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

Edwin TZA April 5, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMpya: Lady Jaydee na Rama Dee wametuletea hii ‘Unione’ itazame hapa
Next Article Full Video: Sabaya alivyoachiwa nakupanda Noah, kifungo cha Mwaka mmoja Nje
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?