RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philp Esdori Mpango ambapo viongozi hao kwa pamoja walisisitiza haja ya kuendeleza mashirikiano yaliopo kati ya pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Rais Mwinyi na Makamu wa Rais Dk Mpango wajadili kutatua kero za Muungano Ikulu

Leave a comment
Leave a comment