Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa juhudi za makusudi zimechukuliwa na Serikali anayoiongoza katika kuziba mianya ya wizi wa fedha za Serikali.
Alisema kuwa hatua hiyo ameichukua kwa sababu anataka fedha za Serikali ziingie katika mfuko wa Serikali ili ziweze kuwafaidisha wananchi walio wengi badala ya wale wachache.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
SPIKA NDUGAI AWACHARUKIA WALIMU JIMBONI “SHULE ZIMEPAUKA, HAIWEZEKANI MOCK TUMEKUWA WA MWISHO”