Ni January 4, 2022 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Hapa nimekusogezea kile alichozungumza kuhusu kutoa orodha mpya ya Mawaziri na Wakuu wa Mikoa.