Top Stories

Rais Samia afanya mabadiliko Ma-DC

on

Rais Samia amefanya uteuzi na mabadiliko ya Vituo vya kazi kwa baadhi ya Wakuu wa Wilaya ambapo Said Mtanda aliyekuwa DC Moshi amehamishiwa Wilaya ya Arusha huku DC wa Karatu Abbas Juma akihamishiwa Moshi, Rais Samia amemteua pia Dadi Kolimba kuwa DC Karatu akichukua nafasi ya Abbas Juma.

RAIS SAMIA AWAVAA WASALITI, AVUNJA BODI TPA “WATU WA HOVYO, WANASEMA UFISADI AWAMU YANGU”

Soma na hizi

Tupia Comments