Top Stories

Rais Samia afanya Uteuzi Septemba 10, 2021

on

Rais Samia leo September 10,2021 amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameteuliwa kutoka kwenye nafasi kumi za Wabunge wa kuteuliwa na Rais.

Kabla ya uteuzi Tax alikuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye amemaliza muda wake August 2021.

MBUNGE ALIYETEULIWA LEO NA RAIS, AAPISHWA BUNGENI

CCTV CAMERA ILIVYOINASA AJALI YA MWENDOKASI NA BODABODA, “WAWILI WAFARIKI PAPO HAPO” DSM

 

Soma na hizi

Tupia Comments