Top Stories

Rais Samia ahutubia Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi (+picha)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi  Evariste Ndayishimiye amehutubia katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Evariste Ndayishimiye wakipokea heshima ya wimbo wa Taifa walipowasili katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura kwa ajili ya kuhutubia katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakishuhudia utiaji saini hati ya makubaliano kuhusu baadhi ya mambo ya utekelezaji kati ya Tanzania na Burundi iliyofanyika leo Julai 17,2021 katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi uliofanyika leo Julai 17,2021 Jijini Bujumbura Nchini Burundi. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiangalia moja ya ngoma ya asili ya Burundi walipowasili katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura kwa ajili ya kushiriki katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakiingia katika Ukumbi wa Royal Jijini Bujumbura Burundi kwa ajili ya kuhutubia katika Jukwa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Burundi lililofanyika leo Julai 17,2021. Ambapo Mhe. Rais Samia amekamilisha ziara yake ya siku mbili Nchini Burundi.

 

Soma na hizi

Tupia Comments