Ad

Top Stories

Rais Samia aigeukia Wizara ishu ya bando “Lisijirudie” (+video)

on

Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kushughulikia sakata la kupanda kwa gharama za vifurushi vya simu lililoibuka kuanzia Aprili 2, 2021.

 “Kulizuka rapsha rapsha juzi hapa kuhusu masuala ya mabando wananchi wakawa juu mkalituliza. Kalifanyieni kazi lisizuke namna ile, mpo na mnaangalia. Hawa watu wanakuja na mambo yao wananchi wanashtuka ndiyo na nyie mnashtuka, hapana,” Rais Samia.

Soma na hizi

Tupia Comments