Top Stories

Rais Samia aingilia kati tozo, Mwigulu anena ‘Rais amesikia maoni yenu’ (Video+)

on

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema Rais Samia ameingilia kati juu ya tozo.

“Serikali imesikia malalamiko yote (kuhusu tozo za mitandao ya simu) na tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameitisha kikao ambacho kitafanyika kesho kuendelea kupitia haya”- Waziri Mwigulu

Rais Samia pia amesikia maoni ya Watanzania wote na ametoa maelekezo tuyafanyie kazi maoni ya Wananchi ambayo wanayatoa, niombe Wananchi wawe watulivu tutaendelea kutoa ufafanuzi kwenye kila panapohitaji ufafanuzi na tutachukua hatua kwenye maeneo yanayohitaji kuchukuliwa hatua”—Waziri Mwigulu

Tupia Comments