Top Stories

Rais Samia akifungua mkutano wa kujadili Demokrasia ya vyama vingi nchini

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Desemba, 2021 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi Nchini utakaofanyika kayika Ukumbi wa Hazina, Jijini Dodoma.

Soma na hizi

Tupia Comments