Top Stories

Rais Samia akiongea katika maadhimisho ya siku ya mlezi wa Skauti (video+)

on

Ni Octoba 2, 2021 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki maadhimisho ya siku ya mlezi wa skauti katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma.

TAZAMA RAIS SAMIA ALIVYOPIGIWA SALUTI NA KUPEWA HESHIMA NA VIJANA WA SKAUTI

TAZAMA MSAFARA WA RAIS SAMIA AKIONDOKA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MLEZI WA SKAUTI

Soma na hizi

Tupia Comments