Top Stories

Rais Samia akishiriki hafla ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO – 19 leo tarehe 04 Januari, 2022 Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Soma na hizi

Tupia Comments