Top Stories

Rais Samia akishiriki katika maadhimisho ya miaka 50 ya Kongamano la wachungaji

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ashiriki katika maadhimisho ya miaka 50 na kongamano la wachungaji na maaskofu wa kanisa anglikana Tanzania katika viwanja vya chuo kikuu cha St.John Ukumbi wa Bishop Alfred Stanway mkoani Dodoma.

Soma na hizi

Tupia Comments