Top Stories

Rais Samia akutana na Job Ndugai Chamwino Ikulu Dodoma

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

WAZIRI NAPE ATOA MAAGIZO KWA WAAJIRI WA MAREHEMU “WALIPWE STAHIKI ZAO, KAKOPE HAKIKISHA UMELIPA”

Soma na hizi

Tupia Comments