Top Stories Rais Samia akutana na Mstaafu Mwinyi DSM (+picha) Published April 12, 2021 Share 1 Min Read SHARE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021. TAGGED:TZA HABARI Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Mategemeo ya TUCTA kwa Rais Samia “nyongeza ya mshahara” (+video) Next Article Mstaafu Mwinyi “Rais Samia ameanza vizuri, kila mtu ana furaha” Leave a comment Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment. - Advertisement - Latest News TRA Iringa yawashukuru walipa kodi wake TRA mkoa wa Iringa yazidi kudumisha mahusiano na wafanyabiashara Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 14, 2024 Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 14, 2024