Top Stories

Rais Samia alivyorejea nchini akitokea ziarani Ubelgiji (video+)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere JNIA leo tarehe 20 Februari, 2022 akitokea nchini Ubelgiji ambapo alikuwa katika ziara ya kikazi.

Soma na hizi

Tupia Comments