Top Stories

Rais Samia amaliza ziara nchini Misri, hivi ndivyo alivyoondoka na Air Tanzania (video+)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi anaeshuhulikia masuala ya Uhamiaji na Wamisri nje ya nchi, wa Misri Mhe. Nabila Makram, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo, Misri alipokua akiondoka Misri na kurejea Tanzania baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu nchini Misri leo tarehe 12 Novemba, 2021.

Soma na hizi

Tupia Comments