Top Stories

Rais Samia amjibu Zitto ombi lake kumuachia Mbowe “Kusameheana kupo” (video+)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 15 Desemba, 2021 amefungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Hali ya Demokrasia ya Vyama Vingi Nchini katika Ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.

KWA UNYENYEKEVU ZITTO KABWE AMUOMBA RAIS “TUSAIDIE MWENZETU TULIYE NAE ILI TUFANYE KAZI KWA PAMOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments