Top Stories

Rais Samia amsifia Harmonize, “Kwa kifua kile kweli ni Tembo”, aongelea wimbo wa Marioo

on

Ni Novemba 23, 2021 ambapo Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama Barabarani mkoani Arusha.

Na miongoni yaliyojiri katika hafla hiyo ni wakati wa hotuba ya Rais aliposikika kuwataja wasanii wawili akiwemo Marioo na Harmonize.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu kile alichozungumza Rais Samia kuhusu wasanii hao wawili.

RAIS SAMIA AFUNGUKA “NAITWA BI TOZO, LINANIGUSA NDANI YA MOYO, TOZO ITAENDELEA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments