Top Stories

Rais Samia amsimamisha Lukuvi na Kabudi “Nimewavuta kwangu, mmoja anakazi” (video+)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 10 Januari, 2022.

Ayo TV & Milardayo.com imekusogezea hapa ufahamu kile alichozungumza Rais Samai baada ya kuwasimamisha Lukuvi na Kabudi.

 

Soma na hizi

Tupia Comments