Top Stories

Rais Samia amteua Jaffar Haniu kurithi nafasi ya Msigwa

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Jaffar Mohamed Haniu kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu).

Kabla ya uteuzi huo, Haniu alikuwa Mtendaji Mkuu wa vyombo vya habari vya Africa Media Group Limited.

Haniu anachukua nafasi ya Gerson Partinus Msigwa ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Uteuzi wa Haniu umeanza leoJune 9, 2021.

MKE WA TB JOSHUA AFICHUA MWANZO MWISHO ALIVYOFARIKI, ALIOGA, IBADANI, AKAFIA CHUMBA MAALUM

Soma na hizi

Tupia Comments