Top Stories

Rais Samia amuita Gwajima, amtania “Gwaji boy oyeee!, tunachanja hatuchanji?” (video+)

on

Ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ambapo akiwa njiani kuelekea Bagamoyo kwa ajili ya kuandaa documentary ya kuutangaza utalii.

Sasa msafara wake ukasimama katika jimbo la Kawe Dar es Salaam kisha akaongea na Wananchi.

UPELELEZI WAKAMILIKA SAKATA LA HAMZA, DCI WAMBURA ASEMA “HAMZA ALIKUWA GAIDI”

Soma na hizi

Tupia Comments