Top Stories

Rais Samia anazindua mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa sensa ya watu

on

NI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ambapo atakuwa mgeni rasmi katika kuzindua mkakati wa uelimishaji na uhamasishaji wa Sensa ya watu na makazi. Shughuli hii inafanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma.

Ayo TV iko mubashara muda huu.

RAIS SAMIA AELEZEA SABABU YA KUMTEUA DR TAX “ALIKUA ANASIMAMIA VYEMA MAMBO YA USALAMA”

Soma na hizi

Tupia Comments