Top Stories Rais Samia ashiriki mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika jijini Nairobi nchini Kenya Published April 29, 2024 Share 2 Min Read . SHARE .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akifuatilia hutoba zilizokuwa zinawasilishwa kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024. .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA nje ya ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024. IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia ambao unatoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea. .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 29 Aprili, 2024. Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article TARURA mkoa wa Morogoro yatakiwa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri na usafirishaji Next Article CCM wilaya ya mbogwe walia na tozo mazao ya chakula kwa wakulima. Leave a comment Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment. - Advertisement - Latest News Waziri Ridhiwan Kikwete aongoza washiriki zaidi ya 1,000 katika mbio za hisani za kumbukizi ya miaka 25 ya kifo cha Baba wa Taifa Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge afariki dunia Billioni 50 kusambaza umeme kwenye vitongoji 105 vya mkoa wa Iringa Habari kubwa Magazetini Kenya leo October 12, 2024