Top Stories

Rais Samia asimikwa rasmi kuwa mkuu wa Machifu Tanzania

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesimikwa rasmi kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania leo tarehe 08 Septemba, 2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa, Magu Mkoani Mwanza.

“Nashukuru sana kwa kunipa dhima na wadhifa huu nami nimekuwa Chifu wa Machifu, ahadi yangu kwenu mmenipa dhima ya kulilinda na kuliongoza Taifa hili Nani naipokea , ombi langu kwenu Watemi na Machifu tushirikiane kutunza amani na ushirikiano wa Nchi yetu “———-Rais Samia

RAIS SAMIA ANAHUTUBIA KWENYE TAMASHA LA MILA NA UTAMADUNI

Tupia Comments