Top Stories

Rais Samia ateua Kamishna wa Kazi

on

Rais Samia Suluhu amemteu Suzan Mkangwa kuwa Kamishna wa Kazi.

Taarifa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais , Ikulu, Jaffar Haniu, iliyotolewa leo Januari 20,2022 imesema kuwa Suzan anachukua nafasi ya Jenerali Francis Ronald Mbindi ambaye atapangiwa majukumu mengine.

Kabla ya uteuzi huo, Suzan alikwua Mtumishi katika Ofisi ya Rais Ikulu. Uteuzi huo umeanza rasmi Januari 17,2020.

Soma na hizi

Tupia Comments