Ad
Ad

Michezo

Rais Samia atoa maagizo soka la Wanawake

on

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri Ikulu Chamwino jijini Dodoma.

“Wanawake kwenye michezo wanafanya vizuri hawasifiwi lakini wenzetu wanaume akishinda tu hata hajafika nusu fainali katia (kafunga) goli tu viwanja vinagawiwa”>>> Rais Samia

“Wanawake wameleta makombe matatu nchini hawajatajwa wala hawajaulizwa.
Hiyo kazi Mh Rais alinipa mimi sasa nakupa wewe”>>> Rais Samia Suluhu Hassan

Rais Samia ameyasema hayo muda mchache baada ya kumuapisha Naibu Waziri Mpya wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Pauline Gekul.

Soma na hizi

Tupia Comments