Top Stories

Rais Samia atuma salamu za rambirambi kwa familia ya Anna Mghwira

on

Anna Mghwira ambae aliwahi kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT  Wazalendo mwaka 2015 na baadae kuteuliwa kuwa RC Kilimanjaro amefariki.

Msiba huo mmegusa pia Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambae ametuma salamu za rambirambi kufuatiwa kwa msiba huo.

Tupia Comments