Top Stories Rais Samia awasili DSM akitokea Zanzibar (+picha) Published April 8, 2021 Share 1 Min Read SHARE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Aboubakar Kunenge mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar leo tarehe 08 Aprili 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wakati akitokea Zanzibar. TAGGED:TZA HABARI Share This Article Facebook TwitterEmail Print Share Previous Article Wafanyakazi wa kigeni 1,538 hawana vibali vya kazi Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo April 9, 2021 Leave a comment Leave a comment Leave a Reply Cancel replyYou must be logged in to post a comment. - Advertisement - Latest News Waziri Ndumbaro aongoza zoezi la kutoa msaada wa kisheria kwa gereza la kiberege kwa wafungwa na Mahabusu Waziri aruhusu kupigwa muziki nyakati za sikukuu Zanzibar TRA mkoa wa Iringa yawapongeza walipakodi wake Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 15, 2024