Top Stories

Rais Samia awasili Kenya kwa ziara ya siku mbili (+picha)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi, leo Mei 4, 2021.

Rais Samia ameanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Kenya, ambayo ni mwaliko wa Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.

LIVE: ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI KENYA

Soma na hizi

Tupia Comments