Mix

Rais Samia awasiliana na kwa video na Boss IMF (+picha)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao (Video Conference) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha Duniani IMF. Kristalina Georgieva Ikulu Chamwino leo May 3, 2021.

Tupia Comments