Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtama Mkoani Lindi mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Mtama ambalo Ujenzi wake umegharimu Zaidi ya Shilingi Bilioni 3.77 na linatarajiwa kukamilika Mwezi November Mwaka huu.
Rais Samia aweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la halmashauri ya Mtama Lindi.

Leave a comment
Leave a comment