Top Stories

Rais Samia “Nategemewa kama Mama, Mke, Bibi, Rais, nisingejitoa nikajipeleka kwenye kifo”

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki uzinduzi wa chanjo ya Uviko 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

“Mimi ni Mama wa Watoto wa wanne wanaonitegemea lakini pia ni Mke, ni Bibi wa Wajukuu kadhaa, Ni Rais pia ni Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi Tanzania kwahiyo nisingejitoa mwenyewe nikajipeleka kwenye kifo lakini nimetoka kuwaonesha umma wanaonifuata nyuma na nikijua kwamba kama Rais ni mchungaji nina watu wengi nyuma ninaowachunga wananitazama mimi” Rais samia suluhu Hassan

Kwahiyo nisingetoka kujihatarisha nimekubali kwa hiari yangu kuchanja nikijua kwamba ndani ya mwili nina chanjo kadhaa ambazo nimeishi nazo kwa mwaka wa 61″- Rais Samia Suluhu Hassan

“Kwahiyo mimi sioni kama ni hatari baada ya wanayansi kujiridhisha na niko tayari kupata chanjo yangu hapa”- Rais Samia Suluhu Hassan

 

LIVE: RAIS SAMIA AKIHUTUBIA “LEO TUNAZINDUA CHANJO, IDADI ILIYOKUJA NI NDOGO CHANJO NI IHARI YA MTU”

 

 

 

 

LIVE: KWA MARA YA KWANZA RAIS SAMIA ANACHANJWA CHANJO YA UVIKO 19

Soma na hizi

Tupia Comments