Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais Senegal atangaza mapumziko
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Rais Senegal atangaza mapumziko
Sports

Rais Senegal atangaza mapumziko

February 7, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Rais wa Senegal Macky Sall ametangaza Jumatatu kuwa siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa timu ya taifa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon).

Rais ambaye alikuwa nje ya nchi amefutilia mbali awamu ya mwisho ya safari yake ili kuwakaribisha nyota hao wa soka kurejea nchini siku ya Jumatatu.

Rais Sall ataitunuku timu hiyo Jumanne katika ikulu ya rais, televisheni ya RTS ilisema.

Senegal ilishinda fainali ya kwanza ya Afcon baada ya kushindwa mara mbili katika fainali mwaka 2002 na 2019.

Waliishinda Misri 4-2 kwa mikwaju ya penalti na kupata ushindi wao baada ya fainali kumalizika bila bao kufuatia muda wa nyongeza.

Wakati huo huo, raia wameendelea kusherehekea usiku kucha kuamkia Jumatatu katika miji mbalimbali nchini Senegal kufuatia ushindia wa Kombe la Mataifa ya Afrika.

Video zinaonesha mashabiki wa timu hiyo wakiwa wanapeperusha bendera ya taifa hilo wakiwa wanacheza densi pamoja na ujumbe kutoka kila pembe uliokuwa unamiminika kwenye mitandao ya kijamii.

You Might Also Like

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

Haji Manara amtambulisha Aziz Ki kama Mfalme, ambusu magoti, amfunga viatu

TAGGED: michezo
Pascal Mwakyoma TZA February 7, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live: Rais Samia akiwasalimia Wananchi wa Butiama mjini mkoani Mara
Next Article Mkali wa Nigeria Wizkid ametuletea hii video mpya akiwa Buju
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mpya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?