Top Stories

Rais Trump kafunguka kuhusu Rais wa China ‘Sina mpango wa kuongea lolote, nafikiria kusitisha uhusiano’

on

Rais Donald Trump ameonesha hali ya kuzorota zaidi kwa mahusiano kati ya Marekani na China kuhusu corona, kwa kusema hana hata nia ya kuzungumza na Rais wa China>> “sina mpango wa kuongea lolote na Rais Xi Jinping na nafikiria kusitisha uhusiano kabisa na China”

Akizungumza na kituo cha televisheni cha Fox, Rais Trump amesema amesononeshwa sana na kitendo cha China kushindwa kulidhibiti janga la corona na kusisitiza kuwa atasitisha uhusiano kati ya Marekani na China, Marekani imeathiriwa zaidi na corona kuliko Nchi yoyote Duniani.

CHANZO: kutoka Idhaa ya Kiswahili.

CORONA TANZANIA: SERIKALI YATOA MAAGIZO ‘MUWE KARIBU NA FAMILIA, WAZEE NA WATOTO

Soma na hizi

Tupia Comments