Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Share
Notification Show More
Latest News
Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
June 2, 2023
Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.
June 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories

Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.

March 27, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Idriss Deby ametangaza msahama kwa mamia ya waasi waliohukumiwa kifungo cha maisha jela hivi karibuni, kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya rais wa zamani wa Mali Idriss Deby Itno, ambaye ni baba ya rais huyo wa muda.

Waasi hao 380 ni miongoni mwa wanachama 400 wa kundi la waasi la Front for Change and Concord in Chad (FACT)ambao wanatuhumiwa  kuhusika katika kumuua rais wa zamani Idriss Deby, ambaye aliuawa akiwa katika medani ya vita dhidi ya kundi hilo la waasi mnamo mwaka 2021 ambapo mahakama nchini Chad Jumanne iliyopita ilitoa hukumu ya kifungo cha maisha jela dhidi yao.

Kesi ya wanachama 465 wa kundi la waasi la FACT lenye makao yake nchini Libya ilianza Februari 13 katika mji mkuu wa Chad, N’Djamena na iliwapata na hatia ya vitendo vya ugaidi waasi 441 ambapo walikabiliwa na mashtaka kadhaa. 

Deby, aliyekuwa  na umri  wa miaka 68 alipigwa risasi alipowatembelea wanajeshi waliokuwa kwenye mstari wa mbele dhidi ya waasi wa FACT ambao walikuwa wamesogea kusini kutoka mpaka wa kaskazini mwa Chad na Libya, na walikuwa wanasonga mbele kuelekea mji mkuu.

Taifa hilo kubwa la Afrika ya Kati linalotawaliwa na jeshi limekuwa katika mgogoro tangu kifo cha Rais Idriss Deby Itno mnamo Aprili 2021, ambaye alitawala kwa mkono wa chuma kwa miongo mitatu ambapo hivi sasa Mahamat Idriss Déby alitawazwa rasmi kama rais wa mpito Jumatatu, ya Oktoba 10 huku sherehe  ya kutawazwa kwake ikifanyika baada ya mazungumzo ya kitaifa jumuishi, yaliyosusiwa na sehemu kubwa ya upinzani na mashirika ya kiraia nchini humo mwaka 2022.

You Might Also Like

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

Nyota wa zamani wa Manchester United Lingard kuondoka Nottingham Forest

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA March 27, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Next Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli
Top Stories June 3, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 3, 2023
Magazeti June 3, 2023
Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’
Top Stories June 2, 2023
Upinzani unashinikiza mageuzi mapya ya uchaguzi
Top Stories June 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Moruwasa, Wamiruvu wafanya Usafi na kutoa Elimu kwa Wakazi wa Vituli

June 3, 2023
Top Stories

Picha: DC Halima Bulembo aungana na wakuu wa Idara, ‘Kutekeleza wajibu wao katika Utumishi’

June 2, 2023
Top Stories

Mlipuko wa ugonjwa wa Marburg umekwisha rasmi Tanzania.

June 2, 2023
Top Stories

Serikali ya Congo na mahakama ya ICC zakubaliana kuimarisha ushirikiano

June 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?