Ni April 25, 2022 ambapo Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kutoka Tanzania Mhe. Jaji Imani Aboud alikuwa ni miongoni mwa waliopata mwaliko wa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan kushiriki katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu mjini Ankra.
Lengo la mualiko huo ni kujadili na kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika bara la Afrika pia kuongeza ushirikiano baina yaa nchi zilizopo ikiwemo Tanzania.
BREAKING: RAIS SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 3826