Top Stories

Mtandao wa Twitter kurudi nchini Nigeria, Rais anena

on

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amekubali kuruhusu mtandao wa Twitter kuendelea kutumiwa Nigeria baada ya kuzimwa kwa miezi saba tangu June 04,2021 baada ya Twitter kufuta post ya Rais Buhari kwenye mtandao wake kwa madai ya kukiuka kanuni zake.

Twitter itarudi hewani leo usiku January 13,2022 ambapo Serikali ya Nigeria imesema Twitter imekubali kuheshimu sheria, historia na tamaduni za Nigeria. 

RAIS SAMIA AKUTANA NA JOB NDUGAI IKULU CHAMWINO DODOMA0-

Live:RAIS SAMIA AKITOA MAAGIZO KWA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI DODOMA

Soma na hizi

Tupia Comments