Mix

Hii ni Hotuba yote ya Rais Kikwete toka Dodoma July 09 2015 na nukuu ya kile alichokisema

on

RAIS WANGU JK

Shughuli ya kwanza iliyompeleka Dodoma Rais Kikwete Dodoma ameikalimilisha leo July 09 2015, ilikuwa alihutubie Bunge pamoja na kulivunja Bunge hilo ambapo Wabunge wanarudi Majimboni kwa ajili yakuendelea na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa October 2015.

Hotuba yake imechukua zaidi ya saa mbili, najua kuna waliopitwa na hii, niliiredoki yote na unaweza kuisikiliza hapa pamoja na kusoma baadhi ya nukuu za maneno yake kwenye kile alichokisema.

Sauti ya hotuba yote ya Rais JK iko kwenye hii sauti hapa, bonyeza play kama ulipitwa umsikilize.

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments