Ad

Top Stories

Hotuba ya kwanza ya shukrani aliyotoa Rais Magufuli baada ya kuapishwa.. (+Audio)

on

Baada ya Dk. John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu kuapishwa kushika nafasi ya Urais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli alitoa Hotuba yake ya shukrani kwa watu mbalimbali baada ya mchakato wa Uchaguzi Mkuu kuisha.

Hizi ni sehemu ya Tweets nilizonasa kile alichokisema Rais Magufuli.

Hotuba yote iko kwenye hii sauti kama ulipitwa mtu wangu kumsikiliza Rais Magufuli.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments