Top Stories

Picha nne za Rais Magufuli kwenye ibada ya Christmas Dar…

on

HappyBoxing Day Mtu WANGU !!

Jana December 25 2015 ilikuwa siku ambayo wakristo sehemu mbalimbali Duniani waliungana kusherehekea sikukuu ya Christmas… lakini haikuwa sherehe tu ya kukaa nyumbani na kusherehekea, ilikuwa siku ya kukutana kwenye nyumba za ibada kwa ajili ya kusali na kumshukuru MUNGU.

Rais John Magufuli aliongozana pia na Mama Janeth Magufuli kwenda kanisa la St. Peters, Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya ibada.

Hapa nina picha zao nne pamoja na nukuu ya alichokisema ibadani.

JPM

Kwenye ripoti toka Ikulu kuna nukuu ya hiki alichokiomgea Rais Magufuli akiwa kanisani jana >>> ‘Ndugu waumini wenzangu, mimi ni yuleyule, nipo vilevile na nimekuja hapa kama Mkristo wa kawaida, muendelee kuliombea taifa hili na mtuombee pia sisi viongozi wake‘- Rais Magufuli.

JPM II

Rais John Magufuli na Mama Janeth wakiwa kwenye ibada.

JPM III JPM IV

Ripoti yote toka Ikulu hii hapa

IKULU

Soma na hizi

Tupia Comments