fB insta twitter

Alichokiandika Kitila baada ya kuteuliwa na Rais

on

April 4, 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli alifanya uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji ambapo alimteua Profesa Kitila Alexander Mkumbo kutoka ACT Wazalendo kuchukua nafasi ya Mhandisi Mbogo Futakamba aliyekuwa kwenye nafasi hiyo ambaye amestaafu.

Sasa basi, kupitia ukurasa wake wa tweeter Prof. Mkumbo ametoa shukrani kwa Rais Magufuli kwa uteuzi huo wa kuitumikia nchi…>>>“Namshukuru mhe Rais kwa heshima aliyonipa katika kutumikia nchi yetu katika nafasi ya Katibu Mkuu. Mungu anisaidie.” – Kitila Mkumbo.

VIDEO: ‘Rais ameonesha nia njema ya kuongoza nchi’ -Zitto Kabwe. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments