Top Stories

Hotuba ya Rais Magufuli ilikupita bungeni ? kuna video za moto wake katika sekunde 105

on

November 20 2015 Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli alilifungua bunge la 11 Dodoma kwa mikikimikiki yake inayopita mulemule kwenye ‘hapa kazi tu’ kaulimbiu ambayo aliitumia sana kwenye kampeni zake za kuwania Urais, hizi hapa chini ni video fupifupi lakini zinaeleweka ukitazama kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho.

#MillardAyoUPDATES #RaisMAGUFULI #Bungeni kuhusu Wafanyakazi wa wizara wanaofanyia mikutano hotelini.

A video posted by millard ayo (@millardayo) on

2

#MillardAyoUPDATES #RaisMAGUFULI #Bungeni – kuhusu Wafanyakazi wa serikali kusafiri kwenda nje ya #Tanzania A video posted by millard ayo (@millardayo) on

3

4.


5.

6


7.


Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments