Michezo

Ramadhani Chombo mchezaji bora October

on

Mchezaji wa Biashara United aliyeonesha umahiri kiasi cha kumshawishi Kocha wa Taifa Stars Kim Poulsen kumuongeza katika kikosi cha Taifa Stars Ramadhani Chombo Redondo ameendelea kung’aa.

Ramadhan Chombo Redondo leo ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa October wa Biashara United anayechaguliwa na mashabiki, hii ikiwa ni mara ya pili mfululizo Chombo anatwaa tuzo hiyo.

Tuzo hiyo inayodhaniwa na kampuni Jet & Son kupitia bidhaa yake ya Jet PVC ikiwa ni mara ya pili mfululizo kwa mchezaji huyo kutwaa tuzo hiyo ambapo pia alitwaa tuzo hiyo mwezi September imeongeza hamasa katika kikosi cha Biashara.

Soma na hizi

Tupia Comments