Michezo

Ramadhani Chombo mchezaji bora wa mwezi

on

Staa wa Biashara United ya Musoma Ramadhani Chombo Redondo amekuwa mchezaji wa kwanza wa Biashara United kuanza kufaidika na udhamini mpya wa club hiyo na Jet & Sons PVC.

Chombo leo ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa club kukabidhiwa zawadi ya Tsh laki tatu (300,000/=) saa chache baada ya club hiyo kuingia mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na Jet & Sons PVC ambapo utawafanya wawe wanatoa tuzo za mchezaji bora wa mwezi kwa msimu mzima.

Soma na hizi

Tupia Comments