on air with millardayo

Exclusive Interview na Rammy Galis, mwigizaji anaetajwa kufanana kimuonekano na marehemu Kanumba

on

Rammy Galis ni mwigizaji wa bongomovie ambaye wengi wamekua wakifananisha muonekano wake na Marehemu Steven Kanumba ambaye alikua staa wa bongo movie, hii ni Interview yangu ya kwanza kumfanyia… kaongea mengi kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FBYOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments